Back to Document Groups

Vitabu vya Bure

Pakua vitabu mahali hapa. Vitabu hivi ni bure vinapokua katika mfumo wake wa kieletroniki. Unaruhusiwa kusambaza vitabu hivi kadri unavyoweza lakini hairuhusiwi kuzalisha, kuweka katika tovuti nyingine na kuuza bila kwanza kupata ruhusa ya maandishi kutoka kwa waandishi na wasimamizi wa tovuti hii. Ukihitaji kupata nakala yako iliyochapishwa katika karatasi, basi tafadhali wasiliana nasi, mawasiliano yetu kapo katika ukurasa wa Mawasiliano.
File Date Title/Download Link Description
10/24/2022 Fundisho Kuhusu Roho Mtakatifu Free eBook.pdf -
10/24/2022 Fundisho la Biblia la Pambano Kuu Free eBook.pdf Ikiwa Mungu ni mwema, kwa nini dunia inaonekana kuwa mbaya hivi? Nini kilitokea Shetani alipoasi? Je, Sayari ngingine ziliathirika pia?