Imeandikwa Karibu Ujifunze nasi maandiko na maswali yako yajibiwe.
Wasiliana Nasi Ikiwa Unayo Maswali Kama unaswali ungependa tulijibu au kama una-mada flani ambayo ungependa tuifanyie kazi tafadhali wasiliana nasi hapa.

Kuhusu Imeandikwa

04 Ahadi Katika Neno - Msaada wa Mungu

Featuring Mch. Almodad Amos

Mungu ni msaada wetu katika nyakati zote. Wale wanaomtumainia Mungu hawana wasiwasi wala huwa hawatikiswi na majaribu. Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kutumaini Mungu katika nyakati ngumu. #mungu #tumaini #wasiwasi #majaribu #maisha #youtube

0 Comments

Add Comment
 

Add your comment

To add a comment you need to login or register.