Imeandikwa Karibu Ujifunze nasi maandiko na maswali yako yajibiwe.
Wasiliana Nasi Ikiwa Unayo Maswali Kama unaswali ungependa tulijibu au kama una-mada flani ambayo ungependa tuifanyie kazi tafadhali wasiliana nasi hapa.

Kuhusu Imeandikwa

10 Ahadi Katika Neno - uongozi wa Mungu Maishani #youtube #mungu #injili

Featuring Mch. Almodad Amos

Ikiwa unapita katika njia usiyoifahamu, au njia inayokutosha usiogope, Mungu ameahidi atakuongoza. Na ikiwa unapita katika nyakati unazohitajika kufanya maamuzi magumu na mazito, usiogope pia, Mungu ameahidi atakushauri.

0 Comments

Add Comment
 

Add your comment

To add a comment you need to login or register.