Imeandikwa Karibu Ujifunze nasi maandiko na maswali yako yajibiwe.
Wasiliana Nasi Ikiwa Unayo Maswali Kama unaswali ungependa tulijibu au kama una-mada flani ambayo ungependa tuifanyie kazi tafadhali wasiliana nasi hapa.

Kuhusu Imeandikwa

Je, una swali kuhusu Mungu, Yesu, Biblia, au unahitaji ufafanuzi wa Maandiko Matakatifu? Je, unahitaji usaidizi kuelewa aya au kifungu flani cha Biblia? Je, kuna masuala yoyote ya kiroho katika maisha yako ambayo ungependa kujua Biblia imeyazungumzia je?

Tovuti ya Imeandikwa, ni tovuti ya Kiinjilisti yenye utume wa kutangaza habari njema za wokovu kwa kutoa masomo, kujibu maswali na kuweka fafanuzi zinazojibu hoja za kiimani kwa njia ya maandishi, sauti na video pia. Ni imani yetu kuwa utapokea baraka tele kwa kufika katika tovuti hii.